Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania imeanza ujenzi wa jengo la ofisi
yake katika mji wa Serikali Mtumba kama sehemu ya utekelezaji wa jukumu la
kuboresha mazingira ya ufanyaji kazi kwa watumishi.

No comments: