Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania leo imetembelewa na wageni kutoka Shirika la Misaada la Nchini Ubeligiji ( ENABEL) kwa lengo kujifunza na kufahamu majukumu ya Tume hiyo na inavyofanya kazi.
Kikao hicho kilichofanyika katika Ukumbi wa mikutano wa Tume hiyo ambapo kiliongozwa na Katibu Mtendaji Bw. George Mandepo na kuwashirikisha wakuu wa vitengo vya Utafiti, Mapitio na elimu kwa Umma.






No comments: